Blog hii ni ya kuzungumzia aina endelevu za nishati, ambazo hazisababishi madhara kwa ulimwengu na viumbe wake. Aina nyingi ya nishati tunayoitumia leo inategemea vyanzo vilivyohifadhiwa mamilioni ya miaka mingi iliyopita. Tunawajibu wa kutumia na kutafuta vyanzo vya kukidhi mahitaji yetu na vizazi vijavyo. Karibu tuelimishane!